Zechariah 1:10

10 aKisha yule mtu aliyesimama katikati ya miti ya mihadasi akaeleza, “Ni wale ambao Bwana amewatuma waende duniani kote.”

Copyright information for SwhNEN